Hata Sina kinyongo
Senior Member
- May 16, 2020
- 118
- 280
Alitaka kukiteka chama ambacho ni tumaini la watanzania."Niliambiwa na Mwenyekiti wa sasa SUMU HAIONJWI"!
Ni kauli ya mheshimiwa Waziri Mkuu mustaafu ndugu Sumaye punde tu alipoangushwa kwa kura za hapana mara baada ya yeye kutamka wazi baada ya uenyekiti wa kanda ya Pwani pia atagombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa ya Chadema.
Hoja hapa ni kwa nini Sumaye alitishwa!?
Kwa nini Mamlaka za Serikali hasa vyombo vya dola havijafanya uchunguzi wa kutishwa kwa mtu mwenye nafasi ya Waziri Mkuu mustaafu!?
Inashangaza sana kwa mtu mzito tena Waziri Mkuu mustaafu kutishwa na Mamlaka zikakaa kimya!
Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
ushahidi wa Sumaye kutishwa u wapi?"Niliambiwa na Mwenyekiti wa sasa SUMU HAIONJWI"!
Ni kauli ya mheshimiwa Waziri Mkuu mustaafu ndugu Sumaye punde tu alipoangushwa kwa kura za hapana mara baada ya yeye kutamka wazi baada ya uenyekiti wa kanda ya Pwani pia atagombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa ya Chadema.
Hoja hapa ni kwa nini Sumaye alitishwa!?
Kwa nini Mamlaka za Serikali hasa vyombo vya dola havijafanya uchunguzi wa kutishwa kwa mtu mwenye nafasi ya Waziri Mkuu mustaafu!?
Inashangaza sana kwa mtu mzito tena Waziri Mkuu mustaafu kutishwa na Mamlaka zikakaa kimya!
Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
wewe kama nani unataka ushahidi ?ushahidi wa Sumaye kutishwa u wapi?
hapana hakutishwa alikumbushwa tu sumu haionjwi kwa ulimi, kwani kunakitisho hapo?"Niliambiwa na Mwenyekiti wa sasa SUMU HAIONJWI"!
Ni kauli ya mheshimiwa Waziri Mkuu mustaafu ndugu Sumaye punde tu alipoangushwa kwa kura za hapana mara baada ya yeye kutamka wazi baada ya uenyekiti wa kanda ya Pwani pia atagombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa ya Chadema.
Hoja hapa ni kwa nini Sumaye alitishwa!?
Kwa nini Mamlaka za Serikali hasa vyombo vya dola havijafanya uchunguzi wa kutishwa kwa mtu mwenye nafasi ya Waziri Mkuu mustaafu!?
Inashangaza sana kwa mtu mzito tena Waziri Mkuu mustaafu kutishwa na Mamlaka zikakaa kimya!
Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Huna adabu!Alishindwa tu kusema alinyanyaswa kingono
Ushahidi awali ni yeye Sumaye.ushahidi wa Sumaye kutishwa u wapi?
ni Mtanzania ninayejiandaa kupiga kura yangu ifikapo October.