Kwani mkeo akipendeza kuna shida gani?

Samahani, hivi ulikuwa unauliza kuhusu nini vile?...............LOL

Mtambuzi nami nimesahau ngoja nkikumbuka ntakujulisha lol naona ka uko mbali
 
ni kweli hata tulio 40s hali ni ile ile, ukitoka umependeza anataka kunywa sumu.
 
mmhhh big up kaka ..na hongera kwa mke mzuri anayejiheshimu ..haa haaa ila umenichekesha nimefurahi
aaah sana tu ...yaani mi mwenyewe najipongeza...na kumshukuru Mungu actualy...nini tena nimekuchekesha!!?
 
ni kweli hata tulio 40s hali ni ile ile, ukitoka umependeza anataka kunywa sumu.

Duu sasa nini kifanyike Kongosho ndio tujiachie waseme tumezeeka?
 
aaah sana tu ...yaani mi mwenyewe najipongeza...na kumshukuru Mungu actualy...nini tena nimekuchekesha!!?
Nimependa unavyomuelezea wife naona na image yake imekujia (nimejikuta natabasamu)
 
Nimependa unavyomuelezea wife naona na image yake imekujia (nimejikuta natabasamu)
siku zote usipomsifia mwenzii wako mpaka w nje wamsifu utaumia..ukiona wenzio wanamsifia ujue kuna jambo..!!
 
Loly hivi unataka keki ule na wakati huo huo uwe nayo mkononi?
Chukua maamuzi magumu.
 
.......kuna mwanaume mwingine mkewe akiulamba kama hajapenda, basi anampiga stop hadi kupanda kwenye gari yake.....na safari itakufa kisa mavaziiii!! Wanaume jamani hebu waacheni wenzi wenu waendelee kuvaa mavazi ya usichana.
 
Bora uwaulize maana kuna watu wanajua kuwachujisha wake zao. Kabla hajaolewa alikuwa anatupia pamba za ukweli ushamuoa unamvalisha makaniki.
 
Kupendeza kwanza ni sifa kwa mumeo lkn inategemea na aina ya mavaz kwan unapokuwa wfe of someone unatakiwa kuendana na hali coz unakuwa kioo kwa wanao swala"mama ukivaa min mwanao atajfunza nn"so kwanza mavaz mengine ni vishawsh kwa watu wengine kwa hiyo pendeza lkn kiheshima sio kuacha sehemu yako ya mwili waz kama unatamansha wengine,ndo hapo tu tunapokosana.
 
Sijui labda sijabahatika kukutana na Sampuli ya wakaka/baba wasio taka wake zao wapendeze. What I know ni kua ila anataka ukipendeza saana (extremely) labada muwe woote. IMO Hakuna kitu ambacho kinaongeza pride kwa mume mke akijipenda na kuonekana mrembo siku zoote hasa mbele ya rafiki zake. Haya mambo haya ya feeling good daima hayabadiliki... Kila mwanadamu (mara nyingi) hupenda kuwakilisha what s/he deems kua ni chake kiwe kizuri na kuvutial. Ila tu nishawahi ona baba mmoja... Mkewe alikua akipendeza mno ni mawili, yeye atampeleka mkewe anakoenda (atavuruga ratiba zake zoote) OR atamwambia akavae nguo nyingine.....lol... Wanaume hawa bana!
 
wivu tu ulochanganyika na kutokujiamini(ukizingatia wanaume ni wabinafsi!)
 
.......kuna mwanaume mwingine mkewe akiulamba kama hajapenda, basi anampiga stop hadi kupanda kwenye gari yake.....na safari itakufa kisa mavaziiii!! Wanaume jamani hebu waacheni wenzi wenu waendelee kuvaa mavazi ya usichana.

Pretty i like your signature...Kwa kweli we umenena wengi hapa hawawajui wala hawataki kuelewa lol...
 
Bora uwaulize maana kuna watu wanajua kuwachujisha wake zao. Kabla hajaolewa alikuwa anatupia pamba za ukweli ushamuoa unamvalisha makaniki.

Husninyo bana haa haaa lakini kweli unaanza tu kuvaa kaniki na mtu hujazoea wala hajakukuta na hiyo style ngumu kweli kumeza..
 
AshaDii thanks for festive greeting !wish you the same my dear..by the way last time nilipenda signtr yako ya mario p y.napenda pia movie zake....back 2 topic ..kama hujakutana na wa hivyo mammy ur lucky ila wapo amini mradi tunaishi utajajionea
 
wivu tu ulochanganyika na kutokujiamini(ukizingatia wanaume ni wabinafsi!)
Badili T. Ni kweli kabisa yani ..chukua tano mkuu wengi wamezid ubnafsi mpaka uwe naye kwani anashindwa nini kukuamini mazima?mi nachokaga hapo tu
 
Huo umri bado sana,

Kwa sie tulio kati ya 40-70, bibi akipendeza unakenunua meno yote 32 au mapengo kwa wale ambao meno yameanza kupukutika kama maembe ya msimu!!

Mkikua mtaacha tu...Mwombe Mungu awaongezee chumvi kidogo!!
 
Natemwa jamaniiii....kweli mm sisapot mtu aache viungo nje hapana ...ile pendeza ya kawaida umeset nywele zako umepaka poda yako kiasi tu ..ila ndio hivyo tena wengine ndio hadi utoke naye au la anune ..kazi kwelikweli
 
Huo umri bado sana,

Kwa sie tulio kati ya 40-70, bibi akipendeza unakenunua meno yote 32 au mapengo kwa wale ambao meno yameanza kupukutika kama maembe ya msimu!!

Mkikua mtaacha tu...Mwombe Mungu awaongezee chumvi kidogo!!

Dark city ..kweli naomba Mungu atuongezee chumvi ila Kongosho kasema ye anajionea wenzake 40's wananuna atiii..au tuwakusanye uwape semina nini? ila nikifikia meno yanatoka bila ganzi wala nini kweli ina raha yake ,hongera kama we umefikia hizo namba za miaka lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…