Kwani Mtabiri ni nani?

Kwani Mtabiri ni nani?

Katikiro

Member
Joined
Nov 12, 2008
Posts
15
Reaction score
22
Niliwahi sema kwa kuuliza swali; kwamba tutegemee Bunge gani kama 90% ya wabunge wa CCM walipatikani kwa mizengwe na Rushwa?

Kwamba wataenda kumlipia nani fadhila za kuwa mbunge, mwananchi ambaye hata hivyo hakumchagua kwa kura za kutosha ama aliyemfadhili kuupata ubunge huo?

Angalia Bungeni, utapata jibu.
 
Back
Top Bottom