Yani Kama Kuna Nchi ningumu kuishi Tanzania inatia fola. Kwenye maneno yote ulimwenguni mmechagua spana?
🤣 🤣 Kwani lina shida gani mkuu!Yani Kama Kuna Nchi ningumu kuishi Tanzania inatia fola. Kwenye maneno yote ulimwenguni mmechagua spana?
Ni kama amefungua akaunti mpya inaitwa, fichua Tanzania, sasa hivi inapata followers wengi balaaJamani nimetoka job,nagoogle kigogo Twitter naona yupo suspended. CCM naona wamemchongea kwa Jack.