Kwani ni kosa kumsimulia mume/mkeo juu ya mpenzi wako wa zamani?

Babu DC

Zinaweza kuwa zigo la misumari kutegemeana na wahusika wenyewe
Ila siwezi kataa kuwa zinaweza kuwa na ugumu hasa pale linapokuja suala la watoto

Huyu mpya asipopewa power au kushirikishwa juu ya watoto aliowakuta kunakuwa na ugumu sana katika malezi
Na inaleta ugumu zaidi pale mmoja anapotumia kigezo cha watoto kukumbushia mambo ya zamani, mara nakuja kusalimu watoto mara nini.


kwa mahusiano ya aina hii lazima at a certain point mtajikuta manaongelea mahusiano ya zamani, japo lazinma kuwe na limits.
 
Haina maana na sio busara kuyazungumzia hayo otherwise iwe una sababu ya kutaka kukmkera mwenzi au umeyachoka mahusiano yako.
 
sidhan kama i busara kuzungumzia mahusiano yaliyopita maana yatakosesha imani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…