kwani ni lazima kutafuna dawa za minyoo????

pinkpink

Member
Joined
Feb 2, 2013
Posts
75
Reaction score
31
nimepewa dawa za minyoo vidonge vitano hospital nimeambiwa nitumie mida ya asubuhi, ila mtoa dawa hajaniambia kama nitafune au vip..kwa upande wangu naona nimeze na maji bila kutafuna kama Bublish
 
Ungemuuliza mtoaji wa hizo dawa ingekuwa vizuri zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…