Kwani ni lazima mwanaume kutahiriwa?

Kwani ni lazima mwanaume kutahiriwa?

Joined
Apr 26, 2016
Posts
64
Reaction score
25
Historia ya babu zetu inasema mwanaume alietairiwa huwa anapendwa sana ni kweli me sijui but me ni nimewaona jamaa zangu wa eneo fulani huwa wanapendwa sana ingawa hawajatahiriwa na wanapendwa? Sasa je kutahiriwa ni lazima au ndo mila tuuuu.
 
Unaamini mungu? Unaamini binaddmu aliumbwa na mungu?
 
We unapendwa? Umetahiriwa au mkono wa sweta?
 
Back
Top Bottom