Matingi litikiti Member Joined Apr 26, 2016 Posts 64 Reaction score 25 Apr 28, 2016 #1 Historia ya babu zetu inasema mwanaume alietairiwa huwa anapendwa sana ni kweli me sijui but me ni nimewaona jamaa zangu wa eneo fulani huwa wanapendwa sana ingawa hawajatahiriwa na wanapendwa? Sasa je kutahiriwa ni lazima au ndo mila tuuuu.
Historia ya babu zetu inasema mwanaume alietairiwa huwa anapendwa sana ni kweli me sijui but me ni nimewaona jamaa zangu wa eneo fulani huwa wanapendwa sana ingawa hawajatahiriwa na wanapendwa? Sasa je kutahiriwa ni lazima au ndo mila tuuuu.
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,666 Reaction score 12,178 Apr 28, 2016 #2 Unaamini mungu? Unaamini binaddmu aliumbwa na mungu?
Najaf JF-Expert Member Joined Jun 20, 2015 Posts 1,505 Reaction score 2,393 Apr 28, 2016 #3 We unapendwa? Umetahiriwa au mkono wa sweta?