Hilo mbona nilishauliza....search...sijaegesha akili mwenyewe nikaondoka...
Unafikiria Gwajima kawekwa ili ashinde?Lengo ni kuwa na uhahkika 100% kushinda.. combined upinzani and CCM votes siyo kuwa upinzani hauna wagombea
So sad!Hili ndio tatizo la kukariri ID ya mtu na kuamini unajua misimamo yake. Yaani Siamini hata kama umesoma na kuelewa jamaa kaandika nini!
Unafikiria Gwajima kawekwa ili ashinde?
Ni kweli ila kuna ambao siasa ndio maisha kwao na wengi wao wanaamini wao pekee ndio wenye haki ya kuwa wabunge au mawaziri.Kuna watu Wana hela nje ya Bunge....kwa kufanya kazi
Si lazima, lakini kitu cha msingi kabisa ni kuwa na mfumo wa kidemokrasia na wa haki.Wapi waliosoma
Wana shahada mbalimbali
Wana uzoefu wa miaka
Wana connections
Wengi wamekuwa Wabunge miaka nenda Rudi...(wamezeekea bungeni)
Sasa wamekatwa wanahaha...wameonewa..wanashangaa..wanahoji kwanini wao?
Wengine wanaenda kufyekwa na waheshimiwa wapiga Kura...
Wengine wananyenyekea wakumbukwe kwenye uteuzi..
Hivi hawana akili za kuishi nje ya Bunge na serikali? Walipohimiza wengine wajiajiri, wafanye ujasiriamali na kulima..walidhani ni kwa wengine tu? Kama Wana shahada za fani fulani so wakawe mifanooo...
Wengine eti wanahama vyama kwa vile hawakupitishwa...halafu ifike 2024 tuambiwe wamenunuliwa wanaporudi walikotoka...laiti upinzani ungekuwa na wagombea wake...!!!
Kwani ni Lazima wawe Wabunge?
Huyu yupo hapo kimkakati, pengine ili Ccm wapate uungwaji mkono kutoka kundi fulani la kiimani.Unafikiria Gwajima kawekwa ili ashinde?
Mkuu kwa kweli kuna mambo kadhaa sikubaliani na CCM.Lakini inafikirisha sana ,mtu yuko bungeni miaka zaidi ya kumi lakini anahama chama ameonewa.Halafu mtu huyohuyo alikua bungeni analalamika,anaihoji serikali kuhusu ukosefu wa ajira,mimi kwa hili nakubaliana na CCM,kuwakata angalao hizo nafasi chache wapatiwe wengine.Wapi waliosoma
Wana shahada mbalimbali
Wana uzoefu wa miaka
Wana connections
Wengi wamekuwa Wabunge miaka nenda Rudi...(wamezeekea bungeni)
Sasa wamekatwa wanahaha...wameonewa..wanashangaa..wanahoji kwanini wao?
Wengine wanaenda kufyekwa na waheshimiwa wapiga Kura...
Wengine wananyenyekea wakumbukwe kwenye uteuzi..
Hivi hawana akili za kuishi nje ya Bunge na serikali? Walipohimiza wengine wajiajiri, wafanye ujasiriamali na kulima..walidhani ni kwa wengine tu? Kama Wana shahada za fani fulani so wakawe mifanooo...
Wengine eti wanahama vyama kwa vile hawakupitishwa...halafu ifike 2024 tuambiwe wamenunuliwa wanaporudi walikotoka...laiti upinzani ungekuwa na wagombea wake...!!!
Kwani ni Lazima wawe Wabunge?
Ikitokea mteuaji wanayemtegemea amepigwa spana , watakimbilia wapi ?Wapi waliosoma
Wana shahada mbalimbali
Wana uzoefu wa miaka
Wana connections
Wengi wamekuwa Wabunge miaka nenda Rudi...(wamezeekea bungeni)
Sasa wamekatwa wanahaha...wameonewa..wanashangaa..wanahoji kwanini wao?
Wengine wanaenda kufyekwa na waheshimiwa wapiga Kura...
Wengine wananyenyekea wakumbukwe kwenye uteuzi..
Hivi hawana akili za kuishi nje ya Bunge na serikali? Walipohimiza wengine wajiajiri, wafanye ujasiriamali na kulima..walidhani ni kwa wengine tu? Kama Wana shahada za fani fulani so wakawe mifanooo...
Wengine eti wanahama vyama kwa vile hawakupitishwa...halafu ifike 2024 tuambiwe wamenunuliwa wanaporudi walikotoka...laiti upinzani ungekuwa na wagombea wake...!!!
Kwani ni Lazima wawe Wabunge?
Bunge ni sehemu ya kutunga sheria ili nchi ipate maendeleo.Mkuu kwa kweli kuna mambo kadhaa sikubaliani na CCM.Lakini inafikirisha sana ,mtu yuko bungeni miaka zaidi ya kumi lakini anahama chama ameonewa.Halafu mtu huyohuyo alikua bungeni analalamika,anaihoji serikali kuhusu ukosefu wa ajira,mimi kwa hili nakubaliana na CCM,kuwakata angalao hizo nafasi chache wapatiwe wengine.
Kazi au majukumu ya Mbunge ni yapi mkuu,hebu yabainishe bila kuacha hata moja.Hebu tuanzie hapo.Bunge ni sehemu ya kutunga sheria ili nchi ipate maendeleo.
Bunge si sehemu ya kupatia watu ajira.
Uchujaji wa watia nia una kasoro nyingi sana. Na hii ni kwa vyama vyote. Sema CCM wanakuwa na kibiri zaidi cha kuchuja watakavyo kwa sababu wanajua wakati wa uchaguzi dola inawabeba. Mimi nadhani wapinzania kama kweli wanataka kujitofautisha na CCM wachague njia nyingine ya kuchuja na kupitisha wagombea wao. Wafikirie hata kuwashirikisha watu wasio wanachama wa chama husika ili kujua kukubalika kwa mgombea kihalisia. Kutumia tu wajumbe kunafanya rushwa itawale kwani uchache wao unatoa mwanya wa kuhonga...mimi ushauri wangu ni huu.
..kamati kuu na halmashauri kuu ingechuja majina ya watia nia.
..sasa waliopita kwenye mchujo ndiyo wangepigiwa kura.
..Na mshindi ndiyo apeperushe bendera ya chama.
Wapi waliosoma
Wana shahada mbalimbali
Wana uzoefu wa miaka
Wana connections
Wengi wamekuwa Wabunge miaka nenda Rudi...(wamezeekea bungeni)
Sasa wamekatwa wanahaha...wameonewa..wanashangaa..wanahoji kwanini wao?
Wengine wanaenda kufyekwa na waheshimiwa wapiga Kura...
Wengine wananyenyekea wakumbukwe kwenye uteuzi..
Hivi hawana akili za kuishi nje ya Bunge na serikali? Walipohimiza wengine wajiajiri, wafanye ujasiriamali na kulima..walidhani ni kwa wengine tu? Kama Wana shahada za fani fulani so wakawe mifanooo...
Wengine eti wanahama vyama kwa vile hawakupitishwa...halafu ifike 2024 tuambiwe wamenunuliwa wanaporudi walikotoka...laiti upinzani ungekuwa na wagombea wake...!!!
Kwani ni Lazima wawe Wabunge?
Waoga wa maisha hao waje huku nje tule nao mihogo na ngwara halafu wakiwa huko juu wanadharau sanaWapi waliosoma
Wana shahada mbalimbali
Wana uzoefu wa miaka
Wana connections
Wengi wamekuwa Wabunge miaka nenda Rudi...(wamezeekea bungeni)
Sasa wamekatwa wanahaha...wameonewa..wanashangaa..wanahoji kwanini wao?
Wengine wanaenda kufyekwa na waheshimiwa wapiga Kura...
Wengine wananyenyekea wakumbukwe kwenye uteuzi..
Hivi hawana akili za kuishi nje ya Bunge na serikali? Walipohimiza wengine wajiajiri, wafanye ujasiriamali na kulima..walidhani ni kwa wengine tu? Kama Wana shahada za fani fulani so wakawe mifanooo...
Wengine eti wanahama vyama kwa vile hawakupitishwa...halafu ifike 2024 tuambiwe wamenunuliwa wanaporudi walikotoka...laiti upinzani ungekuwa na wagombea wake...!!!
Kwani ni Lazima wawe Wabunge?
Yaani hawawezi kuishi na kifanikiwa nje ya Bunge?

Kazi kuu na ya msingi kabisa ya mbunge ni kutunga sheria.Kazi au majukumu ya Mbunge ni yapi mkuu,hebu yabainishe bila kuacha hata moja.Hebu tuanzie hapo.