Kwani nini kimempata Mkojani?

kibaWaKitaa

Member
Joined
Apr 26, 2021
Posts
26
Reaction score
55
Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa vichekesho vya mchekeshaji namba moja kwa sasa (Mkojani) utagundua flow yake ya utoaji wa kazi imeshuka mno.

Mkojani alikua anatoa muvi moja au mbili ndani ya wiki moja na zote zikawa kali...lkn tang tuanze kumuona ona OnTop...maInterview kibao na deals kapata bas muvi ndo tunaziskilizia kwnye bomba.

Je, ni sawa yeye kuacha utaratibu wake ule ama hii itampoteza?
 
Kama unajuana naye mpe ushauri huu;

Huyo character Mkojani kamuexploit sana kiasi kwamba sasa habebi uzito wa awali.

Afikirie zaidi script, story, continuity na mwisho wa story.

Arely zaidi kwenye humour kutoka kwenye convo kuliko mavazi na muonekano kwa ujumla.
 
Sawa mkuu
 
Mkuu ni nani huyoo.. Simjui kabisa.

Picha tafadhali.
 
Jamaa mda wote ni masuala ya ngono tuu, na umahiri wa kutembea na wake za watu , na pia story ndeefu sana ,....
 
yaani sichoki kumuona movies zake youtube,..............Mkojani uko buli buli, hapanaaaaaaaaaaaaaa chezea 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…