Kwani nini kimempata Mkojani?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] "ng'oooooooombe hamnijuiiii" yaan huyu khaaaaah ana maliza hasira zote.
 
Jamaa amekua too much... kwa siku anaweza kutoa clips kama tano na hakuna jipya anasema.. he needs to chill..
 
Aslay nae alikuwa hvyhvy Lakin uyo jamaa naona kama anapita sana na style ya King Majuto
 
Jamaa amekua too much... kwa siku anaweza kutoa clips kama tano na hakuna jipya anasema.. he needs to chill..
Kila saa ukiwaona mtaani wanazunguka kurecord mda wote wanazunguka
 
Issue sio kutoa kazi nyingi ...ni kutoa kazi zenye mashiko..... Ukitoa kaz hovyo hovyo automatically zinapoteza concentration ...
 
Huyu jamaa kusema kweli sijawahi kupenda picha sijui vichekesho vyake.
Sauti yake ndio inanichefua kabisa .
Ninazionaga kwenye mabasi nikiwa nasafiri,
Jamaa kwa mtazamo wangu sio muigizaji ana lazimisha fani
 
Kuna siku nilipanda basi kwenda Mwanza tumefika Morogoro wakaweka mkojani....ilibidi nishukie Morogoro Nitafute private ya mwanza
 
Kuna siku nilipanda basi kwenda Mwanza tumefika Morogoro wakaweka mkojani....ilibidi nishukie Morogoro Nitafute private ya mwanza
Ulibanwa na jambo ukashindwa kuendelea na safari?
 
"Milioni20 ni nyingi"..Sema jamaa amepata deals kama balozi wa Ndondo cup,Pia Anasikika kwenye jingles za Clouds
 
Nadhani mambo ya kuigiza tamthilia yatakuwa yanamchukulia muda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…