M mkaruka ataja rinu JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 3,562 Reaction score 2,493 Jul 21, 2025 #21 funaku said: Wenye CCM Yao wameanza kuhoji Je huyu aneyejiita mwana CCM aliyesema ameshashika vyeo vikubwa ndani ya CCM. JE ni lini alijiunga na ÇCM? Je ni kweli anataka tumuamini eti anaijua katiba,mienendo na tamaduni za CCM Kuliko wengine? Click to expand... Wapuuzi tu hao wanaohoji umri wa uanachama wa Polepole, wahoji pia akina Mpango, Kabudi, Mkumbo, Katambi, Kafurira nk.
funaku said: Wenye CCM Yao wameanza kuhoji Je huyu aneyejiita mwana CCM aliyesema ameshashika vyeo vikubwa ndani ya CCM. JE ni lini alijiunga na ÇCM? Je ni kweli anataka tumuamini eti anaijua katiba,mienendo na tamaduni za CCM Kuliko wengine? Click to expand... Wapuuzi tu hao wanaohoji umri wa uanachama wa Polepole, wahoji pia akina Mpango, Kabudi, Mkumbo, Katambi, Kafurira nk.
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 17,894 Reaction score 14,783 Jul 21, 2025 #22 toriyama said: Slowslow Kawa.... tangu 2K n mzoefu hata hizi sarakasi anazopiga SI za kuziamini Sana inaweza ikawa ni mtego... Ss wenyewe hatuaminiani ngoja akamilishe task ake Click to expand... Kabisa mkuu. Wanajua ni wamezuka tu maana kuna wamezoeleka kama February au wa mtama basi unajua ni wakongwe kumbe kuna wengine wapo behind the scene .
toriyama said: Slowslow Kawa.... tangu 2K n mzoefu hata hizi sarakasi anazopiga SI za kuziamini Sana inaweza ikawa ni mtego... Ss wenyewe hatuaminiani ngoja akamilishe task ake Click to expand... Kabisa mkuu. Wanajua ni wamezuka tu maana kuna wamezoeleka kama February au wa mtama basi unajua ni wakongwe kumbe kuna wengine wapo behind the scene .
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 30,742 Reaction score 56,070 Jul 21, 2025 #23 funaku said: Wenye CCM Yao wameanza kuhoji Je huyu aneyejiita mwana CCM aliyesema ameshashika vyeo vikubwa ndani ya CCM. JE ni lini alijiunga na ÇCM? Je ni kweli anataka tumuamini eti anaijua katiba,mienendo na tamaduni za CCM Kuliko wengine? Click to expand... Hao wenye ccm yao ni akina nani?
funaku said: Wenye CCM Yao wameanza kuhoji Je huyu aneyejiita mwana CCM aliyesema ameshashika vyeo vikubwa ndani ya CCM. JE ni lini alijiunga na ÇCM? Je ni kweli anataka tumuamini eti anaijua katiba,mienendo na tamaduni za CCM Kuliko wengine? Click to expand... Hao wenye ccm yao ni akina nani?