Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Mwezi wa 11 walisema ni kawaida kuwa na mgao kila mwaka. Hadi Zitto akawaunga mkono. Kama mwezi wa kumi na mbili Wakasema tena kuwa ndani ya siku mbili watatoa majibu na kukomesha mgao. Mwezi huu wakasema mgao mpaka tarehe kumi utakuwa historia lakini wakasema hakuna haja upo wa kutosha.
Maneno yote hayo, na mvua zote hizi lakini bado umeme ni shida. Wameshakata saa hizi. Kazi yangu imeshakwama. Tupate majibu ya ukweli na si maneno mengi. Shida ni nini kwenye umeme?
Maneno yote hayo, na mvua zote hizi lakini bado umeme ni shida. Wameshakata saa hizi. Kazi yangu imeshakwama. Tupate majibu ya ukweli na si maneno mengi. Shida ni nini kwenye umeme?