Kwani shi'ngapi? Aaaagghh!

hahahaaa wale vyao walipanda???

Hahahaha...mkuu hujui Mara zote mpandaji ni mmoja lakini walaji ni wengi.. Kama wangekuwa wanakula wapandaji tu basi wengine tusingejua hata harufu ya papai....hahaha!
 
Kwani kuna mtu anakudai basi! ww kajilie vyako kwa raha zako au jamaa kashajitafunia embe dodo tayari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…