Hv Kaiza chief wamekumbuka kumpa kipigo na yule Albino.. Maana ni Jeuri sana..
Akina Shafii Dauda watatulia sasa hvi..
Shafii Endelea kuwapekekea moto hawa mikia huko Clouds.. Mikia ni UnderDog ukweli ndio huo..
Au nasema uongo ndugu zangu..?
Kaizer kutoa draw na Mamelody ni sehemu ya matokeo ya mchezo haimaanishi Kaizer ama Mamelody ni wabovu.Wanashuka, amini hivyo. Wewe angalia game leo kati ya Mamelodi Na Ahly ndio utajua ligi ya Sauzi Ina qualities. Sasa huyo Kaizer anatoaga Suluhu na Mamelodi.
Acheni Mchezo nyie Simba ni undergo kwenye ligi ya Sauzi
Barca walishawai kupigwa goli tano na Messi akiwemo,sio ajabu Simba kupigwa goli nne.Kufungwa ila si nyingi hivi
Hapana mfano wako wa malipo kwa wachezaji hauwendani na hii mechi ya leo.
Al Ahaly wanalipwa pesa ndefu lakini kwa Mkapa walifungwa na Misri Simba alipigwa goli moja na ni timu bora kwa Africa Al Ahly.
Simba leo tumezidiwa mbinu,Kaizer ukiangalia mbinu zao ni kama nyepesi lakini ni mwiba kwa timu yangu ya Simba leo.
Barca walishawai kupigwa goli tano na Messi akiwemo,sio ajabu Simba kupigwa goli nne.
Leo ndio mnajua hilo?Kaizer kutoa draw na Mamelody ni sehemu ya matokeo ya mchezo haimaanishi Kaizer ama Mamelody ni wabovu.
Simba bado ni timu bora kufungwa ni sehemu ya mchezo
Sema jamaa unajibu kiungwana sana safi kabisaBarca walishawai kupigwa goli tano na Messi akiwemo,sio ajabu Simba kupigwa goli nne.
Kaizer kutoa draw na Mamelody ni sehemu ya matokeo ya mchezo haimaanishi Kaizer ama Mamelody ni wabovu.
Simba bado ni timu bora kufungwa ni sehemu ya mchezo
Sasa kama unasema Simba tuliweka malengo ya Simba kufika robo na robo tumefika wewe unaona shida iko wapi?
Simba tuliwafunga ngapi Al Ahly haijalishi,Al Ahly wanalipwa pesa ndefu kuzidi Simba lakini tuliwapiga goli moja kwa Mkapa na wao wakatupiga moja Misri,mishahara ya wachezaji haichezi uwanjani.
Simba leo tumezidiwa kimchezo na tukafungwa,hatulaumu timu,kocha,uongozi wala refarii.
Simba nguvu moja.
Nilikua na Reply comment namba 26 alieshangaa Simba kupigwa goli nne wakati hata Barca wameshawai kupigwa nne na baba yao Messi akiwepo.Sasa Simba ni Barca? Mfano wako ni irrelevantly kwenye TOPIC . Hamna Investment ya kufanya hayo mageuzi... NEVER! MNATOKA , Safari yenu imefika mwisho.