Kwani TMA wamasemaji na hii Mvua ya ghafla Jijini Dar es Salaam ambayo pia imekuja na baridi la kuliogopa na kulikimbia Bafu?

Kwani TMA wamasemaji na hii Mvua ya ghafla Jijini Dar es Salaam ambayo pia imekuja na baridi la kuliogopa na kulikimbia Bafu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mamlaka ya Hali ya Hewa ( TMA ) walikuwa very active kutupa updates za Kimbunga Jobo, ila nashangaa kuhusu hii Mvua kubwa na ya ghafla iliyoleta Baridi Jijini Dar es Salaam hawajatuambia na moaka sasa wameendelea Kuuchuna ( Kunyamaza ) tu.

Kwa Ubaridi huu ( Baridi hili ) la Sasa hapa Dar es Salaam naweza kusema Wanaume Shupavu na tunaooga Maji baridi Kiukakamavu tuko wachache sana wakiongozwa na GENTAMYCINE Mwenyewe.

Wanaume wengi Lonyo Lonyo ( Laimi Laini ) nina uhakika leo Asubuhi na hata Usiku huu wamegombana na Wake ( Wapenzi ) wao kwanini wamechelewa Kuwachemshia Maji ya Moto ya Kuoga.

Kama tu Umeoga Maji Baridi jipongeze.
 
Wao walisema leo ingenyesha kubwa mkoa wa Tanga na Zanzibar
 
Back
Top Bottom