Huko Mexico, kama ilivyo katika maeneo yote yanayozungumza Kihispania, el (bila lafudhi) ni neno bainishi la umoja wa kiume, linalomaanisha "the". Inatumika kabla ya umoja, majina ya kiume (kwa mfano, el carro - gari, el perro - mbwa). Él (kwa lafudhi) ina maana "yeye".
Maelezo muhimu kuhusu "el" huko Mexico:
"The" (Mwanaume): Inatangulia nomino za kiume, kama vile el libro (kitabu).
Mikato: El ni sehemu ya mikazo: del (de + el, ikimaanisha "ya" au "kutoka") na al (a + el, ikimaanisha "hadi").
El dhidi ya Él: El = the (makala); Él = yeye (kiwakilishi cha somo).
Isipokuwa: Inatumika pamoja na baadhi ya nomino za kike zinazoanza na 'a' au 'h' iliyosisitizwa, kama vile el agua (maji) au el águila (tai) kusaidia matamshi.
Kwa kifupi, el inamaanisha "the" kwa nomino za kiume
Huko Mexico, kama ilivyo katika maeneo yote yanayozungumza Kihispania, el (bila lafudhi) ni neno bainishi la umoja wa kiume, linalomaanisha "the". Inatumika kabla ya umoja, majina ya kiume (kwa mfano, el carro - gari, el perro - mbwa). Él (kwa lafudhi) ina maana "yeye".Kwani majina yanaanza na El ndo ubin wao
Ila hawa wa kwetu wa kimatumbi hawana shida bwashee"Mwanaume unatakiwa uoe kwasababu ukiwa peke yako unaweza kuugua usiku na ukafa kwa kukosa msaada."
Haya sasa aliyekuwa anategemewa kuwa msaada wa kukunusuru usife ukiugua usiku ndio huyo sasa kaku-snitch kwa mamwela.
Umesahau na sadam Hussein mke wake alitoa Siri alipo wanajeshi wa marekani wakaenda kumkamata kwenye andakiMara baada ya kumpigia simu mkewe, María Isabel Santos Caballero Mwamba “Pablo Escobar” alikamatwa na huo ndo ulikuwa mwisho wake.
The Drug Lord “El Chapo” naye alikamatwa mara tu baada ya kufanya mawasiliano na Manzi yake “Kate De Castillo”
Star Boi “El Mencho” akiwa kwenye mjengo wake huko Tapalpa (Jalisco) nchini Mexico,
Lokesheni yake ilitambulika mara tu baada ya kufanya mawasiliano na bebe yake “Guadalupe Moreno Carrillo”
Alivamiwa na kikosi maalumu cha jeshi la Mexico, na kuuawa.
Wahuni waliwalinda sana MaBosi zao, tena kwa uaminifu wa hali ya juu bila ya USNITCHI wowote ule, Guess what!
Maanguko yao yametokea vilevile kama ilivyokuwa kwa Babu yetu Adamu (EVA) au Mzee wetu Samsoni (DELILA).
Bible imeshatuasa! Tuishi nao kwa akili😀🙌🏿🏃🏿View attachment 3548576
Watu kama ninyi ndo mnakujaga kujinyonga sababu ya kumwamini mwanamke asilimia 100% hasa mpenzi na mke.Ila hawa wa kwetu wa kimatumbi hawana shida bwashee