Chalii Wa Kipare
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 462
- 907
Nimejaribu kusikiliza anachozungumza lakini kama nashindwa kuelewa, ni MUKANDALA yule wa KIKOSI KAZI au ni mwingine?
===
Akitumia maandiko ya Jaji Ibrahim Juma (1998), Prof. Mukandala anaeleza:
"Mchakato wa kufanya maamuzi nchini Tanzania unaathiriwa na Katiba ambayo imetengenezwa kuuzunguka Urais wenye nguvu sana, kila sekta ya umma inalazimika kutegemea ofisi ya Rais katika utendaji kazi wake kwa kutumia mamlaka yake makubwa ya kuteua kupandisha vyeo na kuwafukuza watu katika utumisha wa umma Rais anaweza kuhakikisha wateule wake wanatekeleza majukumu kama apendavyo yeye."