johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bwashee acha dharau!Act hakuna wabunge wenye akili nzuri
Haaaa haaaaWabunge wa ACT wengi ni madrasa.
Unamaanisha nini bwashee?Wabunge wa ACT wengi ni madrasa.
Namaanisha madrasa leavers.Unamaanisha nini bwashee?
Kama Salumu Mwalimu?Namaanisha madrasa leavers.
Ukisikia kula Mbegu ndio huku Mwendazake hakujua kuwa Kamati hizo lazima ziongozwe na Upinzani baada ya kuiba kura zote za Wabunge wa Upinzani Akaona ili Awapate tena ili waongoza hizo KAMATI akawarubuni kina Halima na Genge lake kwani Wana Njaa KaliACT wazalendo ina Wabunge wanne wa kuchaguliwa wakati Chadema na Cuf sana mbunge mmoja mmoja.
Kwa sasa Chadema inaongoza PAC na kule LAAC ina makamu Wote kutoka Covid 19.
Ina maana wabunge wa viti maalumu Chadema wana uwezo mkubwa kuliko vile vidume vya ACT wazalendo?!