Kwani wafia dini tunasemaje?

Kwani wafia dini tunasemaje?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Salaam!!

Imani ni kuitakidi kuwa kitu fulani ni kweli na sahihi.
Dini ni msingi wa kiimani ambao unatumika kwenye maisha kwa taafsiri fupi dini ni tamaduni na tamaduni ni mfumo wa maisha mfano kula,kuvaa,uchumi,siasa na hata malezi inahusisha dini mfano waislamu kwao wamekataza kula mkono wa kushoto na wakaambiwa ni ibilisi na shetani(miiko) lengo ni kuacha mazoea mabaya kwani mkono wa kushoto unatumika sehemu zenye usalama mdogo.

Nisipige soga nyingi nikawapoyeza sasa kama nilivoeleza dini ni mfumo wa maisha na tunajua kuwa dini kubwa UISLAMU NA UKRSISTO Chimbuko lao ni bara la Asia sio dini hizo tu,hata hindu na buddha kote ni Asia ambao wanamisingi yao ya kuamini na chimbuko la dini la kiislamu ni mtumu Muhammad Bin Abdillah(S.W.A) kutokea mji wa Makka mtoto wa Bi Amina lakini upande wa imani ya Ukristo umetokea Israel jijini jerusalem kutoka kwa muasisi Jesus mtoto wa Mariam.

naomba kuuliza swali langu na naomba ushahidi wa kuonekana.

Ni wapi makao makuu ya dini hizi mbili kwa hivi sasa??

shukrani
 
Back
Top Bottom