Kwani wanaume hamuez kusema 'hapana'

lila

Member
Joined
Aug 7, 2012
Posts
38
Reaction score
5
Ivi wanaume n lzm mkitegwa mvue ch...*?Can't u Guys say No'??
 
Hatuwezi sema no,huyo m/me atakayesema no basi ujue ni punga aka bwabwa aka joka la kibisa
 
lila eti naskiaga ikisimama lazima ipandwe sijui ni kweli?
 
Last edited by a moderator:
Tamaa ya mwanaume iko kwa mwanamke..
Hata jeshini ukitaka mambo yakunyokee vizuri weka women, money and wine...
 
hatuwezi asilani, na anayeweza ni 'poyoyo'
 
correct me if am wrong ...lakini sababu ya mtego ni ili imnase yule anayewindwa.
sasa na nyie wanawake kwa nini mtutege wakati mwajua sie tunamega tuu....says alot abt ur intentions
 
Una uhakika unacho kinena?
Kweli kiswahili kigumu jamani........... hapo umeandika kitu tofauti kabisa na ulichotaka kuuliza. Nna uhakika ulimaanisha "una uhakika na unachokinena?" Sasa kutenganisha 'unacho' na 'kinena' umeleta a very different meaning thats why gfsonwin kakunanga hapa
 
Si kweli kuwa wanaume wote hawawezi kusema hapana............. tupo wanaume marijali tuu lakini tukiamua kusema no tunasema no, na wanaosema kuwa mwanaume rijali hawezi kusema no eti labda awe shoga si kweli, huko ni kujiendekeza tuu na kujishusha mpaka kufikia level ya mnyama asiye na utashi wala aibu. Its all in your brain, tusipende kujiendekeza na kujidanganya.
 
dnt rush 2 cheap and easy to kamata zinagarama kubwa Boss umeniangusha hapa lo na wewe pia kweli kuna mahali utajua busara ya mtu ipo au

ndio maana nimeweka alama za kama ni quote hivi

sio mimi ninaesema,nimenukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…