Emmanuel Robinson
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,856
- 1,793
Mtu kama huyu msomi mzuri tu kwa nini watu wanafikiri hawezi kuwa mkuu wa wilaya? Au kwa vile aliamua kujiajili kwenye tasnia ya sanaa. Naona kuna kasumba inaanza kujengeka hapa nchini ya kufikiri kwamba wengi wanojihusisha na sanaa ni watu ambao ni fyatu. Fikira hizi siyo sawa.