SaidSabke
JF-Expert Member
- Sep 28, 2006
- 2,071
- 402
Rafiki yangu alimtuma mtoto wake apige simu kwa shangazi yake.Baada ya mtoo huyo kupiga simu ilipokelewa na housegirl.akauliza shangazi yupo.hause girl alijibu hakuna mtu yeyote hapa nyumbani wpte wametoka.ndipo mtoto akuliza tena kwani wewe ni mwizi au ngendere