kwani wewe ni msagaji?!!!!

so unataka hadi umfumanie ndo utamuacha?
huyp hafai-piga chini
 

Uamuzi ni wako! Kama uko tayari kugawana mapenzi na hao 'mashosti' wawe wa kiume au wa kike muombe msamaha uendelee kugawana!
 
najua hadi sasa mmeshakutana baada ya kukwaruzana. Najua pia kuwa keshakulainisha na maneno na wewe umeshaanza kuamini kuwa hana hiyo tabia. Kazi ni kwako sasa
 
Hata kama huna "kipaji" cha kukasirika jaribu kuwa unakasirika mara moja moja hasa pale mtu anapokugeuza zoba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…