Kwani yeye Mchungaji Dkt. Kimaro (Mchungaji Pendwa) anasemaje?

Kwani yeye Mchungaji Dkt. Kimaro (Mchungaji Pendwa) anasemaje?

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,311
Reaction score
36,056
Waslaam wana JF

Tumsifu yesu kristu taifa la Mungu, Bwana wetu Yesu Kristu Asifiwe, Asalaam Aleykum

Tangu mchungaji pendwa atoe taarifa ya kupewa likizo na kuambiwa akaripoti makao makuu, habari za Dr. Kimaro ambaye alikua mchungaji katika ushirika wa Kijitonyama zime trend kwa kasi ya 5G.

Kweye hizo habari wapo wanaosema ni utaratibu wa kawaida wa kikanisa, wapo wanaosema ni adhabu ambayo inatokana na kiburi na utukutu wa huyo mchungaji pendwa, na wapo ambao wanadhani mchungaji pendwa ameonewa na anapaswa arudishwe kwa haraka come what may.

Cha ajabu mchungaji pendwa mwenyewe hajaulizwa yeye anaonaje yaani ni yapi maoni yake kuelekea utekelezwaji wa maagizo ya waajiri wake.

Kuna haya ya vyombo vya habari kutujuza nini maoni ya mchungaji pendwa kuelekea utekelezwaji wa maamuzi ya waajiri wake

Nawasilisha.
 
Alishaeleza wakati anawaaga waumini wake kwamba anatii agizo la viongozi wake, so anaenda likizo ya siku 60 then ataenda kureport makao makuu kwa ajili ya kusikikiza maelekezo menginewe
 
Miaka michache mgogoro ulikuwa dayosisi ya KONDE saizi mgogoro umehamia huko Kijitonyama acha inyeshe
 
Back
Top Bottom