Kwani yeye mwenyewe anasemaje?

Kwani yeye mwenyewe anasemaje?

Moja ya misemo ya hovyo kuwahi kutokea 2021 ....
 
Sasa mama yake anahusika vipi mkuu?kwani hakuna option ya jibu jingine hadi ahusishwe MAMA?hivi mbona tunawachukulia poa sana mama za wenzetu,wako akifanyiwa hivyo utapenda?.

KANUNI BORA YA UTU: LOLOTE LILE MNALOTAKA WATU WAWATENDEE NINYI NANYI TENDENI HIVYO.
Nakazia
 
Msemo wa kifala huu ulianzia Instagram/Facebook huko ni baada ya pande mbili zilizokua zinagombea maiti izikwe wapi?


Sasa ktk comments kuna boya mmoja akaandika “kwani marehemu anasemaje?” Ilisambaa sana whatsapp huko
 
Kwani msemo wenyewe unasemaje?
1619553198904.png
 
Back
Top Bottom