pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Hawa jamaa naona wameanza na wao kuzingua sasa. Ninazo akaunti mbili na wao zilikua zinaenda vizuri tu,
Ila tangu juzi nimelipia huduma na bado sijafungiwa walisema ndani ya saa 24.
Ila leo ni 96 hours, Nikiwapigia simu wanasema fundi tayari ana vifaa vyako atafika sasa hivi sasa sijui kapotea au ndio nishaingizwa mjini. Unajua tena awamu hii wenye nguvu wanafanya watakavyo
Ukiwashtaki wanakugeuzia kibao