pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
KariakooUpo wapi Mkuu? Na Zuku internet?
Aliporwa na vibaka jirani zako, nani alaumiwe kama si wewe kwa kuwafumbia macho vibaka.Nimetoka kuongea nao sasa hivi ni kweli napata khofu hawa ni matapeli,
Eti wanadai decoder hakuna wakati jana wamesema tayari wamempa fundi na yuko njiani?
Nawasihi watanzania wenzangu kuwa na tahadhari na watoa huduma uchwara
Nawaambia basi rudisheni hela yangu wanasema no refund
Huu sio utapeli?
Duh,Ndugu mteja pole kwa usumbufu ulio jitokeza ila tunakuhakikishia fundi yuko njiani tunaomba ulipie tena kwa mara ya pili kiasi kile kile ulicholipa ili upate bonus ya kutumia internet miez 6 buree
Kama unakusudia chama tawala kuwaibia upinzani basi kweli tuliangalia tuAliporwa na vibaka jirani zako, nani alaumiwe kama si wewe kwa kuwafumbia macho vibaka.