DENI LA BENKI
Member
- Sep 15, 2019
- 14
- 11
Nimekuwa muumini wa JF tangu mwaka 2014 . Nilikuwa nikikongwa moyo na mada za mshana jr, Kiranga , The bold, Da vinc , jonh the Baptist na ma" thinkers" wengine. Nimekuwa nikitanua mbavu zangu na mada za Zero IQ, mzee wa kasumba msela wa Manzese kwenye sekta ya mapenzi.
Kwaufupi mimi si muumini wa majukwaa mengine zaidi ya jukwaa la siasa, intelligence, biashara na ujasiriamali ,hoja mchanganyiko na mapenzi
Kwa kipindi chote hiko nimekuwa msomaji na kukomenti kimoyomoyo lakini kwa sasa naamini ni wakati muafaka kukifinya keyboard kutanabaisha mbivu na mbichi.
#Nawaomba mniombee