Kwaniaba ya "kukomenti"

DENI LA BENKI

Member
Joined
Sep 15, 2019
Posts
14
Reaction score
11
Nimekuwa muumini wa JF tangu mwaka 2014 . Nilikuwa nikikongwa moyo na mada za mshana jr, Kiranga , The bold, Da vinc , jonh the Baptist na ma" thinkers" wengine. Nimekuwa nikitanua mbavu zangu na mada za Zero IQ, mzee wa kasumba msela wa Manzese kwenye sekta ya mapenzi.
Kwaufupi mimi si muumini wa majukwaa mengine zaidi ya jukwaa la siasa, intelligence, biashara na ujasiriamali ,hoja mchanganyiko na mapenzi

Kwa kipindi chote hiko nimekuwa msomaji na kukomenti kimoyomoyo lakini kwa sasa naamini ni wakati muafaka kukifinya keyboard kutanabaisha mbivu na mbichi.

#Nawaomba mniombee
 
Hatareee hiyo.
 
Tukuombee ulipe kwanza deni la bank au
 
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji120][emoji120][emoji120]karibu
 
Karibu sana mkuuu
 
Wewe ni magu mpaka uhitaji tukuombee? Karibu sana JF.
 
Karibu saaaaana.....bwana mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…