Naomba nisizunguke sana waungwana, kuna jamaa zangu wamepata wagen kutoka kule wabongo wenzetu walipoficha Fedha na wameamua wajifunze kiswahili kwa huu muda wataokuwa nchini. Sasa kuna maneno yamewatatiza sana na hata sis wenyeji imetutatiza pia, nadhan inatokana kusoma masomo mengine (sayans) kuliko lugha yetu.
Kwanin 'a Dog' iandikwe MBWA badala ya MMBWA??
Kwanin 'Outside' iandikwe NJE badala ya NNJE??
Na kama hivyo ndivyo kwanin 'country, iandikwe NCHI badala ya CHI??
Ni makosa yaliyofanywa na wa2 walifanya mchakato wa kusanifisha lg. Ikumbukwe kua waliosanifisha lg hii walikua co waswahili kwan kisw kilisanifishwa enz za wakolon kwa mara ya kwanza. Matamshi mengi ya nazali yanayoanzia na m&n yanavyotamkwa ndivy cvyo na yanavyotamkwa.