Kwanin icngekua hivi jmn..

wish I culd get one...I belive maisha yng yangekua mazur san aisee...

Ndipo nasema ni muhimu uwe wewe kwanza upo vyema. Try to biuld the character u want in your man. Ukitaka mcha Mungu anza wewe. Ukitaka waliotulia, anza kutulia wewe. Mungu si dhalimu, atakupa ulichopanda!
 
mi naona tubakie independent... ukitaka watoto au kupunguza mshawasha, mna-do then kila mtu anaendelea na maisha yake... no hard feelings

..Ni mawazo yako pia...una uhuru wa kutoa mawazo
 
Mungu ni upendo, upendo ni asili ya Mungu, kama hutampenda Mungu hutaweza kujipenda mwenyewe, na kama hutaweza kujipenda mwenyewe huwezi kumpenda mwingine ama kupendwa na mwingine.. haya mapenzi yenu ya kidotcom ya kuiga mila, , imani, taratibu, maisha, tamaduni na desturi za weupe ndo zimetupelekea kufika hapa... tunaiga sana mabaya badala ya mazuri... we mnakutana siku moja na kuonjana siku hiyo hiyo unategemea nini?? nakushauri ujifunze kutokana na makosa, mche mola mengine yote utaongezewa.
 
tungefahamu asili ya mapenzi nini tungeenda kutambika labda inahitaji kafara kwani mapenzi yanatesa sana.
 
mi naona tubakie independent... ukitaka watoto au kupunguza mshawasha, mna-do then kila mtu anaendelea na maisha yake... no hard feelings

Hapo inabidi sasa Mungu umsahau
 
mi naona tubakie independent... ukitaka watoto au kupunguza mshawasha, mna-do then kila mtu anaendelea na maisha yake... no hard feelings

Hapo inabidi sasa Mungu umsahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…