Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Habari wakuu
Leo ni usiku mwingine wa maajabu ya UEFA champions leagu ambapo man city anaenavaana na spurs
Nipende tu kuwataarifu kuwa, hii mechi gardiola ataikamia kwa kutaka kufunga magori mengi akitaka kupindua meza kibabe kama wengi wanavodhani
Hio ndio itakuwa nafasi kwa spurs kumunyoosha gadiola na kumfunga gori nyingine za kutosha, man city watafunguka sana kwa kushambulia ili wapate gori ila counter attack za spurs ndizo zitawamaliza
Liverpool ilimfunga man city uefa iliyopita hivo hivo nje ndani,
Wazee wa kuweka mzigo mpe kabisa spurs direct win
Liverpool anapigwa ila atafuzu
Sent using Jamii Forums mobile app