Kwanin leo Man City atafungwa

Pain killer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
14,361
Reaction score
21,680
Habari wakuu

Leo ni usiku mwingine wa maajabu ya UEFA champions leagu ambapo man city anaenavaana na spurs

Nipende tu kuwataarifu kuwa, hii mechi gardiola ataikamia kwa kutaka kufunga magori mengi akitaka kupindua meza kibabe kama wengi wanavodhani

Hio ndio itakuwa nafasi kwa spurs kumunyoosha gadiola na kumfunga gori nyingine za kutosha, man city watafunguka sana kwa kushambulia ili wapate gori ila counter attack za spurs ndizo zitawamaliza

Liverpool ilimfunga man city uefa iliyopita hivo hivo nje ndani,

Wazee wa kuweka mzigo mpe kabisa spurs direct win

Liverpool anapigwa ila atafuzu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaota wewe. Unafikiri we una mawazo makubwa ya uchambuzi wa mechi kuliko makoach zaid ya 6 walioajiriwa pale man city?
 
Unaota wewe. Unafikiri we una mawazo makubwa ya uchambuzi wa mechi kuliko makoach zaid ya 6 walioajiriwa pale man city?
Mpeni tena guardiola dola billion moja atengeneze kikosi,
 
Unaota wewe. Unafikiri we una mawazo makubwa ya uchambuzi wa mechi kuliko makoach zaid ya 6 walioajiriwa pale man city?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…