siku zote tumezoea kumi bora lakin ajabu juz nimesikia 20 bora na ajabu zaid kule mwisho zilitangzwa shule kum mbov kwann zisingetangazwa 20 ili ionekane ni new style?

jibu ni rahisi wametangaza 20 bora ili kuzipatia nafasi shule za serikasli kwani zingetangazwa 10 bora za serikali zisingekuwemo na nia aibu kwa serikali kutokuwa ndani ya 10 bora!!! wenye akili tumeang'amua.