Kwanin wakati wa Haja Kubwa Na Ndogo Inatoka?

Kwanin wakati wa Haja Kubwa Na Ndogo Inatoka?

mzama chumvini

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2016
Posts
730
Reaction score
642
Nipo njia panda hapa! Mwanangu Idowa Kaja Na Homework kaniuliza hata cjui wadau! Nahitaj maelezo
 
Pia kiitifaki mkubwa anapotaka kusafiri lazima mdogo/wadogo wamsindikize lakin mdogo anapotoka si lazma mkubwa amsindikize.mfano mzuri ni mkuu wa nchi na wasaidiz wake.
Una akili Sana aisee![emoji3] [emoji3]
 
cmp jibu zur ila nahis kam unataka nihaibike kwa mwanangu?? Kwa mfano nikamwambia halafu akachekwa shule atanionaj? Nipe real ans
 
Utakuwa na matatizo makubwa! muone daktari mapema yaani kwenda kukojoa tu! na haja kubwa hiyo! inakutoka bila breki!? wamekuharibu huko!
Wengine hata wakipiga chafya, ndogo yaja.
 
Pia kiitifaki mkubwa anapotaka kusafiri lazima mdogo/wadogo wamsindikize lakin mdogo anapotoka si lazma mkubwa amsindikize.mfano mzuri ni mkuu wa nchi na wasaidiz wake.
Jibu classic hilo
 
Back
Top Bottom