mzama chumvini
JF-Expert Member
- Mar 14, 2016
- 730
- 642
Una akili Sana aisee![emoji3] [emoji3]Pia kiitifaki mkubwa anapotaka kusafiri lazima mdogo/wadogo wamsindikize lakin mdogo anapotoka si lazma mkubwa amsindikize.mfano mzuri ni mkuu wa nchi na wasaidiz wake.
Wengine hata wakipiga chafya, ndogo yaja.Utakuwa na matatizo makubwa! muone daktari mapema yaani kwenda kukojoa tu! na haja kubwa hiyo! inakutoka bila breki!? wamekuharibu huko!
Jibu classic hiloPia kiitifaki mkubwa anapotaka kusafiri lazima mdogo/wadogo wamsindikize lakin mdogo anapotoka si lazma mkubwa amsindikize.mfano mzuri ni mkuu wa nchi na wasaidiz wake.