kwanin wanaume huumia akiona X wake amemove on

kwanin wanaume huumia akiona X wake amemove on

neyl

Senior Member
Joined
Nov 23, 2011
Posts
127
Reaction score
19
mambo wadau! mimi nina hili swali huwa linanitatiza, kuna baadhi ya wanaume wakiona maX wao wamemove on ( kapendeza, she is happy, anadate na mtu mwingine ) huwa wanaumia yan wivu si wivu anaweza akutukane we bila sababu tatizo huwa ni nin hasa?
 
sio kweli... unsigeneralize tafadhali
 
Nikishakumega niumie nini tena labda nigaramie unitime nisichape mzigo usepe hapo kidogo nitaumia.alafu wewe ukifanikiwa siwez umia labda tuwe kwenye ushindani wa kibihashara alafu niwe nimekupa mtaji unitose.
 
Kama nilisha kumega,niumie ili iweje tena?no heat gain wala no heat lost..sepa zako tu.over
 
Ikiwa demu ndio aliyekutema, misjifanye hamnazo, inaumajeee
 
hahahaa hao kweli wapo na maranyingi ni kwamba demu kambwaga jamaa wakati jamaa alikuwa bado anamfagilia.
 
sio kweli... unsigeneralize tafadhali

hilo ni kweli kabisa anko MTM maana katujumlisha wakati wengine ndio kwanza tunashukuru kuona uliekuwa unampenda na yeye anaendelea..
 
babu rudi utupe maexperience yako......

Kwa wanaume walio wengi, anapokuwa ameachana,ameacha au kuachwa na mwanamke, roho yake itafurahi sana mtalaka wake akipatwa na moja wapo ya mambo yafuatayo:

1. Ama siku moja kutwe akiokota makopo,
2. Arudi akihaha na kuomba msamaha ili jamaa ajipe utukufu, au
3. Apelekewe salamu za R.I.P

Haya nayasema kutokana na mapokeo na prakitoko!!

Babu DC!!
 
kumbe ngoja nianze kuchunguza wale wa kwangu!!!!!
 
@babu DC

ha ha ha, dah hadi RIP?
Kumbe hali ni tete kuliko nilivyodhani.

Najua wanamme hupenda mwanamke afulie tu kwa kwenda mbel, ili siku akimhitaji kwa makumbushio aweze kumpata kirahisi.
 
Kuna kijitu rohoni kinakuwepo hivi
kama kinasema 'kwa nini kanisahau haraka hivyo?'

Hapo ndipo nipokupaga standing ovation!!

Yaani kuna watu wana msemo kuwa, "mwanamume anayekuwa amemwacha mwanamke, basi anamfanisha na marehemu"!!

Mbali na hayo, lazima roho itamuuma sana!!

Babu DC!
 
kumbe ngoja nianze kuchunguza wale wa kwangu!!!!!


Chauro,

Kuna exceptions nyingi pia...

Kwa wale ambao mnaachana kwa kukubaliana...may be kuna jambo ambalo liko wazi kwamba hamuwezi kusonga mbele inaweza kuwa tofauti!

Na especially wale ambao mnaendelea kupeana updates...mambo lazima yatakuwa tofauti!!


Babu DC!!
 
na kweli kuna mmoja nilikutana nae juzi kwenye salamu akaniuliza hivi huwa unanikumbuka kweli nilishangaa kidogo ujumbe wake ulikuwa na maana ipi?
Chauro,

Kuna exceptions nyingi pia...

Kwa wale ambao mnaachana kwa kukubaliana...may be kuna jambo ambalo liko wazi kwamba hamuwezi kusonga mbele inaweza kuwa tofauti!

Na especially wale ambao mnaendelea kupeana updates...mambo lazima yatakuwa tofauti!!


Babu DC!!
 
Back
Top Bottom