Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
heri wewe umesema kweli......i will luv you 4ever.....
mambo wadau! mimi nina hili swali huwa linanitatiza, kuna baadhi ya wanaume wakiona maX wao wamemove on ( kapendeza, she is happy, anadate na mtu mwingine ) huwa wanaumia yan wivu si wivu anaweza akutukane we bila sababu tatizo huwa ni nin hasa?
Huwa sikumbukagi uhusiano zilizopita ,sina utaratibu wa kupenda mtu bado najipenda mwenyewe kwanza.
nimeipenda sana hii comment yako....ina ukweli ulio halisi mno.....
heri wewe umesema kweli......i will luv you 4ever.....
kumfunikaje?Kama ntampata mwngne wa kumfunika yeye hakika ctamkumbuka wala kumuonea wivu..
hmmmm...Usiusemee moyoNikishakumega niumie nini tena labda nigaramie unitime nisichape mzigo usepe hapo kidogo nitaumia.alafu wewe ukifanikiwa siwez umia labda tuwe kwenye ushindani wa kibihashara alafu niwe nimekupa mtaji unitose.
Ah me lile lishetani silikumbuki hata siku moja na vile limefulia!ah wapi siwezi kurudia matapishi.afu mbaya zaidi alikuwa anaomba nifulie but yeye ndo kafulia hana hata mia!