Ndevu mbili
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 379
- 41
Wewe ndio mtoto mwenyewe nini? mbona hujui kuandika na kujielezea ukaeleweka..........jipange upya uje tena kuuliza.Habar zenu!
Nawatakieni heri za mwaka mpya wa '' 2 or Twelve''
Mwanangu wa kiume amekuja niuliza hili swali...nimeshindwa kumjibu...maana watoto wa hizi zama wanajua mitego sana.
Nisaidieni nimjibu vipi?
Nisaidie kwanza jinsi ya kumjibu kijana wangu!Wewe ndio mtoto mwenyewe nini? mbona hujui kuandika na kujielezea ukaeleweka..........jipange upya uje tena kuuliza.
Halafu ukiwa kama baba lazima ujue jinsii ya kujibu maswali ya watoto, kwahiyo ulijibu subiri nikaulize JF.
Heri ya mwaka mpya 2012!!!
Wanaume wana miguu mirefu na wanawake wana midomo midogo!!
Kumbe midomo midogo ndiyo inaongea sana!.
Una maanisha unajua jibu eee?huna mtoto una bahasha mpwa kazi unayo
Kumbe ulidhani?
Kwani maneno hua yanajaza mdomo useme lazama uwe mkubwa kutoa maneno mengi?
Mimi sijui uelewa wa mtoto wako, wewe ndio unajua uwezo wake wa kufikiria maana unaweza pewa jibu lakini ukashindwa kulitetea kama ukiulizwa swali zaidi kuhusiana na jibu ulilotoa.Nisaidie kwanza jinsi ya kumjibu kijana wangu!
Siwezi mwambie nmekuja JF kutafuta jibu!
jamani..boys have an extra leg and the girls have an extra pair of lips!ama??
Habar zenu!
Nawatakieni heri za mwaka mpya wa '' 2 or Twelve''
Mwanangu wa kiume amekuja niuliza hili swali...nimeshindwa kumjibu...maana watoto wa hizi zama wanajua mitego sana.
Nisaidieni nimjibu vipi?
jamani..boys have an extra leg and the girls have an extra pair of lips!ama??
Nenda kakodishe adabu ikusaidie! Lol!
Nami niliwaza kumshaur hivyo hivyo!jamani..boys have an extra leg and the girls have an extra pair of lips!ama??