Kwanini 50cent na Floyd Mayweather wanachukiana??

Wazushi hao wanatuzingua wao wanapiga michuzi tu kwa hizo beef zao feki.
 
Reactions: B51
Ugomvi wao ni katika ile product ya blackface pull-up sweater iliyozinduliwa na Gucci juzi kati yenye gharama zaidi ya $890 ambayo inahusishwa kuwa na some racist imagery. So fif anapiga na may ana support the product despite of the mistake made by the Gucci brand designer.
 
Sisi tupo Tz tunaathirika vp?

wakati ukuta.
 
Hii beef niyajuzi goma lilianza kipindi Floyd anapigana na mflipino

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakua 50 alibeti mayweather apoteze game halafu hajapoteza, mwisho wa siku mzigo [emoji383][emoji383] wa 50 ukapotea.


...hit direct to the Ntoku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtoa mada mm nimeona UN logistic tyuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€whatsap kwa chacha1
 
Picha za kitambo za 50 kama za Diamond alivokuwa hana hata mia.
 
50 nowday kawa choko, miaka ya nyuma ukiwa na beef na 50 cent lazma uhame jimbo... Cent sasa hvi maneno mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…