Tetesi: Kwanini A level isibadilishwe na kua VETA

Tetesi: Kwanini A level isibadilishwe na kua VETA

complex31

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2016
Posts
421
Reaction score
1,289
Habari wakuu niende kwenye mada moja kwa moja sijaona umuhimu wa mtu kumaliza kidato cha nne na kwenda kidato cha tano na sita kupoteza muda kwanini isiwe mtu akimaliza kidato cha nne asiende VETA kujifunza ufundi wa vitendo pamoja na mambo mengine yanayotolewa na veta kama urembo, kuchomelea, ufundi wa magari, vinyozi hivo mtu kua na utaalam kabisa hata siku akikosa ada awe na kitu cha kufanya mtaani
 
Back
Top Bottom