Geza Ulole JF-Expert Member Joined Oct 31, 2009 Posts 65,136 Reaction score 91,917 Jun 6, 2021 #1 Hivi kati ya Account ya Msemaji Mkuu wa Serikali na ile ya binafsi ya Gerson Msigwa ipi ni ya muhimu zaidi? Mbona ya Msemaji Mkuu wa Serikali haiko verified lakini ya binafsi ipo? Ni makusudi au?
Hivi kati ya Account ya Msemaji Mkuu wa Serikali na ile ya binafsi ya Gerson Msigwa ipi ni ya muhimu zaidi? Mbona ya Msemaji Mkuu wa Serikali haiko verified lakini ya binafsi ipo? Ni makusudi au?
Ng'wanamangilingili JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 5,778 Reaction score 4,859 Jun 6, 2021 #2 Hana uwezo. Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 5,175 Reaction score 16,488 Sep 24, 2021 #3 Ulipata majibu?