Kwanini Afrika haijawahi kuandaa michezo ya Olimpiki?

Kwanini Afrika haijawahi kuandaa michezo ya Olimpiki?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Kuna shida gani? Naona kila siku waandaaji ni Ulaya, Amerika na Asia.
Huku sisi Afrika tatizo nini? Mbona Kombe la Dunia tuliweza na likafana sana, ni wapi tumekosea mpaka tukose nafasi ya kuandaa Olimpiki?
Povu ruksa...
 
Back
Top Bottom