Kwanini aina za nyota zilizopo angani zilitumika kutambulisha vitu kama vijiji na mapiramidi?

Kwanini aina za nyota zilizopo angani zilitumika kutambulisha vitu kama vijiji na mapiramidi?

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Watafiti wengi walianza kupata mwangaza baada ya kujiuliza ujenzi wa mapiramidi ya misri matatu kuendana na mtililiko wa nyota.
IMG_0880.jpg



Tafiti nyingine zikaja kuibua mapiramidi mengi kwa mtindo wa kufatilia nyota huku wakizilinganisha na michoro yake mfano kama ng'e,mizani na n.k.

Kumepatikana mapiramidi mengi kwa njia hii.

je huko nyuma ni nani alikuwa akiwaelekeza. Mapiramidi ya misri yapo africa ila barani asia,amerika ya kusini na kaskazini wote walitumia ustadi mmoja.

ni nani alikuwa nyuma yao.

Mtindo wa nyota kufanya hivi umetumika kwa watu wa Greeks, Persians, Hindus, Romans, Polynesians na nchi zengine.

Sana sana wameizungumzia nyota ambao mpaka leo inayoonekana sirius.

Hakukuwa na darubini ya mbali walijuwaje na wote kuitaja nyota hii na kuitumia.

Wajuzi wa mambo ya kale.
 
Back
Top Bottom