Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Naomba TCRA wafuatilie % za kamisheni ya miamala kwa mawakala wa kutoa/kutuma fedha kwa mtandao wa AIRTEL ni ndogo sana ukilinganish na mitandao mingine
Picha 3 za mwanzo ni airtel money, zinazofata ni mixx by yas