Kwanini ajali ya Chacha Wangwe na Lissu madereva wao wote hawakudhurika? ?

U
Uzalendo umenipofua macho kiasi kwamba siioni serikali wala siioni chadema ktk hili...nawaona wazungu aka mabepari walozoea kujichukulia madini ya bure sasa kuambiwa hii ni mali ya Tz na sio yenu wameanza manuva....
 
Dereva walisu kawakwamisha sana .kumwanbia Lisu asishuke kwenye gari ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

na mm napata shida na hayo maswali maana mpaka leo hao wauaji wa hao watu bado hawajajulikana kabisa
 
Hivi unajuwa kuwa risas inapopita na kupenya kwenye uzio inapungua speed, na risas zililengwa kwenye upande wa Lisu.
 
Je, dereva wa marehemu Sokoine Edward pamoja NA wale waamnata wake unawakumbuka au hukuwepo wakati wa tukio ama kusoma historia husika?
 
Hivi unajuwa kuwa risas inapopita na kupenya kwenye uzio inapungua speed, na risas zililengwa kwenye upande wa Lisu.
Huyo hamna haja ya kumuelimisha, anajua ukweli sema tu alitaka Lissu afe. Ila Mungu kamtetea, we risasi 38 unadhani mchezo mchezo nn hata Tembo angekufa. Ila Mungu akasema NO.
 
Ni yule yule mwizi wako kafungua tena ID nyingine
 
Marisasi yote hayo dereva asiguswe hata kidogo. Mhhhh
Unahitaji kujua jografia ya mahari pa tukio itakusaidia kujua kwanini dereva hakuzurika pia ikumbukwe kuwa lisu alilalia kwa dereva na ndio salama yake (maelezo kutoka mdogo wake lisu )
 
Mleta mada hebu fikilia hivi target ya hao wauaji ilikua ni nani lissu au dereva

Kama tunajua kabisa kwamba target ilikua ni lissu afu Leo unatuuliza kwa nn dereva hajaumia Mkuu a u serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…