Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Sio mara moja au mara mbili ajira za ualimu zimekuwa zikitangazwa na zinaishia hewani.
Hivi ina maana hii serikali mmeamua kuwaona waalimu ni kada flani iliyojaa mafara mpaka mnaamua kuwafanyia maigizo?
Kuna haja gani ya kutangaza ajira hewa?
Acheni kutesa watoto wa watu.
Hakuna graduate mwalimu ambae ameishakuja kwenu kuwaomba ugali au pesa ya kununua unga.