Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
mimi sio mwalimuZipi hizo zimeishia hewani? we acha kujiandaa kisha uje kulialia hapa umekosa nafasi
Punguza wenge
Sasa lawama za ninimimi sio mwalimu
Inakera Sana CCM na akina simbachaweneSio mara moja au mara mbili ajira za ualimu zimekuwa zikitangazwa na zinaishia hewani.
Hivi ina maana hii serikali mmeamua kuwaona waalimu ni kada flani iliyojaa mafara mpaka mnaamua kuwafanyia maigizo?
Kuna haja gani ya kutangaza ajira hewa?
Acheni kutesa watoto wa watu.
Hakuna graduate mwalimu ambae ameishakuja kwenu kuwaomba ugali au pesa ya kununua unga.
mafara hawawezi kukuelewaInakera Sana CCM na akina simbachawene
Hivi walishawahi kutangaza ajira za uwalimu na zikapotelea hewani e?Sio mara moja au mara mbili ajira za ualimu zimekuwa zikitangazwa na zinaishia hewani.
Hivi ina maana hii serikali mmeamua kuwaona waalimu ni kada flani iliyojaa mafara mpaka mnaamua kuwafanyia maigizo?
Kuna haja gani ya kutangaza ajira hewa?
Acheni kutesa watoto wa watu.
Hakuna graduate mwalimu ambae ameishakuja kwenu kuwaomba ugali au pesa ya kununua unga.
wewe ndie bado una wenge ......kaa kwa kutulia yajayo yanafurahishaPunguza wenge
usilolijua ni sawa na usiku wa gizaHivi walishawahi kutangaza ajira za uwalimu na zikapotelea hewani e?
We jamaa nifala danawewe ndie bado una wenge ......kaa kwa kutulia yajayo yanafurahisha
fala ni wewe mwenyewe, uwezo wako wa kufikiri unaishia pale vidole vyako vya miguu vinapoishia....huwezi kufikiria hata miaka kumi ijayo utakuwa wapi, pumbavu sana.......na siwezi kukuraumu kwa sababu kila point ya maisha yako hujui kuitafuta zaidi ya kutafuniwa na kumezeshwa, ku*a wewe.We jamaa nifala dana
Nonsensefala ni wewe mwenyewe, uwezo wako wa kufikiri unaishia pale vidole vyako vya miguu vinapoishia....huwezi kufikiria hata miaka kumi ijayo utakuwa wapi, pumbavu sana.......na siwezi kukuraumu kwa sababu kila point ya maisha yako hujui kuitafuta zaidi ya kutafuniwa na kumezeshwa, ku*a wewe.