Kwanini ajira za ulinzi wanataka waliopita JKT pekee

Kwanini ajira za ulinzi wanataka waliopita JKT pekee

meddiy

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
577
Reaction score
647
Wakuu habar za mda?

Hvi ni kwanini ajira nyingi za vyombo vya ulinzi wanahitaji watu waliopita JKT na JKU (kwa Zanzibar)?

MTaani wapo vijana wengi waliosoma na hata ambao hawana elimu ambao hawakubahatika kupita jkt&jku kwa sababu tofauti tofauti, na wana penda kujiunga na vyombo vya ulinzi na wana sifa zote zinazohitajika ukitoa izo za jku&jkt

Sasa ni kwanini nafasi zinapotoka wanahitaji waliopita jkt na jku pekee?
 
Hii JKT wangeitoa imekuja kushtukiwa na watu inapoteza mda kwa vijana wakiamini wataingia JWTZ.

Baada ya kuona ili wakaamua kusuuza kwa kipitio cha ajira idara nyingine.
 
Nenda KAMPUNI ya ulinzi ukajieleze vizuri wanachukua kuanzia darasa la 7, kidato cha Nne na kuendelea, uwe na viambatanisho vyote vinavyohitajika bila kusahau cheti cha alama ya vidole kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani hata km haujapitia JKT au JKU kuna short training utapewa then utapewa kazi ufanye.

Kingine uwe umefanya kazi hio kwa mda hata kwa mtu binafsi ndio wanaweza wakakufikiria namaanisha uwe na experience ya kufanya kazi ya ulinzi at least mwaka 1/2/3 sio unaenda mtupu huna experience yoyote ya hio kazi.
 
Back
Top Bottom